COPA COCACOLA CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO

Thursday, June 28, 2012

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Mshambuliaji wa timu ya Vijana ya Kilimanjaro,  Ridhiwani Yussuf (kulia) akimtoka beki wa Shinyanga  Frank Zololo, timu zao zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, katika mfululizo wa michuano ya Timu ya Vijana ya Copa Cocacola. Pichani ni 'move' ya Ridhiwani na Zololo hatua kwa hatua
 1
 2
3

0 comments:

Post a Comment